• UK
  • 08:11 25 Novemba 2009
  • |    
  • 11:11 25 Novemba 2009

Ofisi zetu Tanzania

Umoja House, Dar es Salaam

Ubalozi wetu upo katika jengo la "Umoja House" kwenye makutano ya mtaa wa Milambo na Garden Avenue jijini Dar es Salaam.

Ubalozi wetu upo katika jengo la "Umoja House" kwenye makutano ya mtaa wa Milambo na Garden Avenue jijini Dar es Salaam. Balozi wetu ni Diane Corner na amekuwa katika ofisi tangu Aprili 2009.

Tafadhali wasiliana nasi ili kufahamu zaidi juu ya namna tunayoweza kukusaidia, kuhusiana na huduma tunazotoa.




Kurudi juu