• UK
  • 08:13 25 Nov 2009
  • |    
  • 11:13 25 Nov 2009

Kuchelewa kwa utoaji wa Viza

"Kwa hiyo unahimizwa kutuma maombi yako ya viza mapema kabla ya tarehe unayotarajia kusafiri"

 

Kitengo cha viza Nairobi, ambacho hutoa uamuzi juu ya maombi yako ya viza kilikuwa kimefungwa kwa muda wa siku saba kuanzia tarehe 14 hadi 21 Agosti, 2009 kwa ajili ya kupisha kazi ya kuimarisha mitambo yetu ya kompyuta.

Hivyo kazi hiyo imesababisha kuchelewa kwa utoaji wa huduma za viza katika kipindi husika hapa Tanzania.

Kwa hiyo unahimizwa kutuma maombi yako ya viza mapema kabla ya tarehe unayotarajia kusafiri ili kuondokana na usumbufu.

Unaweza kuleta maombi yako ya viza miezi mitatu kabla ya tarehe yako ya kusafiri.




Back to top